Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari za week end wakuu. Naomba msaada wenu juu ya namna ya kurekebisha tatizo hili kwenye simu yangu. Natumia Nokia 2730. Ninapoingia kwenye internet na kutaka ku-download kitu e.g. image...
0 Reactions
4 Replies
907 Views
Computer yangu ina siku 4 ukiburn cd inatoka yenyewe.Nikafika hatua ya kubadilisha Cd Empty ikagoma na pia nikanunua Dvd writter nyingine bado yale yale.Ikifeli ku burn inaadika ''Power...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Naomba kuuliza.nina kompyuta aina ya dell,monitor ni flat screen sasa kwenye hii monitor kuna USB port 3.je?naweza kutumia?kama ndio vipi?ntashukuru kwa watakao nifumbua.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kila nikiadd code kwenye cas wakati wa kufanya application message inakuja imeandikwa ivi ERROR!!, INVALID ENTRY, MAKE SURE YOU ADD THE CORRECT PROGRAM CODE AS IT IS WRITTEN FROM THE GUIDE BOOK...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
kuna software inakuwezesha kupata free internet ya basi la rangi ya kijani lakini two hours free. baada ya hapo inakubidi ulipie dola 3.0. malipo wanayokubali ni kutumia liberty reserve tu. kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada tafadhali juu ya code itakayoniwezesha kuaccess NAM Programming menu kwenye simu za nokia hasa S60v3,nimegoogle sana mpaka basi bila mafanikio!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni nisaidieni nina deckstop aina ya compon Imepoteza Sound gafla.. NAOMBA NISAIDIENI JINSI YA KURUDISHA Sound.
0 Reactions
2 Replies
631 Views
Jamani mimi nimekuwa nikitumia simu za kichina kwa muda mrefu sasa nimeamua kujivua gamba na kununua Blackberry! sielewi vitu hivi kwenye Blackberry-BB torch, BB curve, BB style, BB bold, BBM...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
habari wenu wanaJF, naombeni mnisaidie niweze kujua ni jinsi gani naweza kuconnect remotely computers zinazotumia windows7 ziweze kuwasiliana kwa kutumia internet...na pia mtu wa computer moja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mbona cku hizi wana undergo renovation daily? wats wrng with theyr servers?
0 Reactions
9 Replies
944 Views
Tangu juzi speed ya kudownload imepungua sana...yaani hata movie moja ya MB 700 haijamaliza...au ndo mgema akisifiwa tembo hulitia maji?
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Wakubwa mambo vipi? Natatizo la product key za window service pack 3
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Wadau receiver aina ya media com imefuta channel zote na nkiwasha inaandika no channel nfanyaje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF nauliza kuna mtu anazijua free pages kwenye mtandao naweza download picha za ukutani, nimejaribu kuperuzi nyingi ni za kulipia wakubwa
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wana JF kuna mtu anajua links za free download picha za ukutani coz nyingi ni za kulipia wakubwa, nitashukuru mkinisaidia wana JF
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada kwa wale ambao wamewahi kutumia galaxy note na galaxy tab, nimekuwa nikitumia ipad 2, lakini kuna features nyingi ambazo nakuwa limited kuzipata including flash player...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
wana technology nina hiyo tatizo ni kwamba siwezi uliza salio *102# wala kuweka vocha-msaada pls anyone knows how to fix
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Natafuta main board ya D610. Kwa mwenyenayo anijuze jinsi na mahali pa kuipata hiyo kitu hapa Dar.
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Habari wakuu! Wadau nimepata dili la kutengeneza vitambulisho na software niliyonayo ni MS Publisher, Je naweza print IDs za watu tofauti ktk sheet moja kwa kutumia software hiyo? au kuna softwar...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
wanajamii naombeni msaada wenu kwenye kompyuta yangu, ninapoiwasha kompyuta inawaka fresh but inakaa dakika kama 3 na kutokea rangi ya blue na maneno yanayosema STOP:c000021a {Fatal System...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Back
Top Bottom