Tahadhari: Hii ni hatari sana kwenye simu

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Kumekuwa na tabia ya watu
wanapopokea simu huigeuza
na kusikilizia nyuma hii ni
hatari.
Mionzi ya mawimbi ya umeme
ambayo hugeuzwa kuwa sauti kutoka katika mnara wa simu
hupokelewa au huingilia
kupitia upande wa
nyuma,hivyo ni hatari sana
kwani unaposikilizia nyuma
husababisha mionzi kupenya moja kwa moja sikioni
nakwenda kuathiri ubongo.
Madhara sio rahisi kuyaona
haraka kwani huchukua muda
mrefu,hivyo kumbuka kutumia
simu kwa matumizi yake pia kumbuka kuiweka simu kwa
kutanguliza kioo au upande
wambele unapoweka mfukoni
ili ile mionzi isije kuathiri
mwili kwani kama utaigeuza
mionzi itakuja na kugonga upande stahili ambao ni nyuma
ya simu.
 
tatizo ni elimu juu ya radiations watu hawana. na hakuna kitu kinachohusika na utoaji elimu hiyo kwa watanzania sasa wafanyeje?
 
Kwa bahati mbaya wageuzaji wa simu hawaingii katika JF. Na ukiwaeleza majibu yatakuwa kama Elly hapo juu #5.
 
Masharouwalo ndo zao kupokea cm na kugeuza nyuma mbele! Na tabia hii wakiizoea watawageuza mpaka maduu wao ooh!
 
zipo simu zinazoruhusu kufanya hivo nyingine huwez ila wana sababu
 
Tatizo cm zao vimeo kwa mbele hawasikii na wengi ukiwaelimisha wanajibu wanavyotaka wao km ELLY
 
Asante kaka kwa taarifa tena siku hizi imekuwa fashion kwenye Nokia za tochi watu kugeuza simu.
 
Asante sana mkuu kwa taarifa! Watumiaji wa Nokia tochi na michina ndio wengi wanamtindo huo watumiaji wa Smart hawana ulimbukeni huo!
 
Mionzi ya mawimbi ya umeme
ambayo hugeuzwa kuwa sauti kutoka katika mnara wa simu
hupokelewa au huingilia
kupitia upande wa
nyuma
,hivyo ni hatari sana
kwani unaposikilizia nyuma
husababisha mionzi kupenya moja kwa moja sikioni
nakwenda kuathiri ubongo.

Nadhaniinabidi ujarubu kusoma soma kuhusu wireless signal au mobile propagation .Then utaelewa kuwa habari uliyoandika siya kweli. . Sigals za wireless nyingi zinzoto kawenye anttena(minarayasimu in thiscase ) ni Omnidirectional

images
images

So hizi ni dondooo

  • Mawimbi (Wirelss siganal) zinazotoka kwenye minara yasimu ni Omnidirectinal.Hijalishi simu imeleekezwa kusini au kakazinim, mashariki au magahribu au imegeuzwa juu au chini au inasikilizwa kwa nyuma au kwa mbele
  • kwa hiyo kama ni kweli mionzi na signas hio zina madhara ukigeuza simu basi hata usipoegeuza jua Mionzi ipo na nitapita tu sikioni nahata machoni mdomoni na puani nakwenyengozi.Sababu hiyo miozi ipo tu huioni . Kinanchofaynywa na simu ni kuibadilisha liisha kuwa sauti inayotambulika na binadamu
  • Dondoo ya mwisho nikuulize vipi ukigeuza radio nayo ina madhara ?

Kama kuna makosa hope nitasahihishwa
 
Sir/madam,
is this true? as per my knowledge i think its a hoax and here is why:
1. signals from BTS antenna are too weak to penetrate human body. even if I grant you that they are that strong, they are spread already so even one with no mobile phone should be affected
2. whether you use front or back of your phone ht makes no difference. there is no special protection in front
one point we can discuss which is the effect of signals emitted by your mobile phone.
 
Nadhaniinabidi ujarubu kusoma soma kuhusu wireless signal au mobile propagation .Then utaelewa kuwa habari uliyoandika siya kweli. . Sigals za wireless nyingi zinzoto kawenye anttena(minarayasimu in thiscase ) ni Omnidirectional

images
images

So hizi ni dondooo

  • Mawimbi (Wirelss siganal) zinazotoka kwenye minara yasimu ni Omnidirectinal.Hijalishi simu imeleekezwa kusini au kakazinim, mashariki au magahribu au imegeuzwa juu au chini au inasikilizwa kwa nyuma au kwa mbele
  • kwa hiyo kama ni kweli mionzi na signas hio zina madhara ukigeuza simu basi hata usipoegeuza jua Mionzi ipo na nitapita tu sikioni nahata machoni mdomoni na puani nakwenyengozi.Sababu hiyo miozi ipo tu huioni . Kinanchofaynywa na simu ni kuibadilisha liisha kuwa sauti inayotambulika na binadamu
  • Dondoo ya mwisho nikuulize vipi ukigeuza radio nayo ina madhara ?

Kama kuna makosa hope nitasahihishwa

Huwa napenda unavojibu hoja tu!!! :D
 
Tatizo cm zao vimeo kwa mbele hawasikii na wengi ukiwaelimisha wanajibu wanavyotaka wao km ELLY

ngarambe na mzeelapa. Ni kweli watanzania ni wengi ni wabishi kwa kujifanya wajuaji. Ni sawa na pale unapomuelimisha mtu madhara ya kutumia gazeti kufungia vitafunwa kama maandazi,vitumbua,mihogo,viazi n.k. Ukimwambia mtu kwamba wino unaotumiwa kwenye magazeti una lead,kemikali yenye madhara kwa binadamu hususani kwenye mfumo wa fahamu na ubongo,anakupa jibu kama la Elli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom