HSDPA - Ina maana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HSDPA - Ina maana gani?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by GAZETI, May 22, 2012.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,533
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba ufafanuzi kwani hii modem yangu ya Airtel wakati mwingine
  inasomeka EDGE Airtel Tz wakati huo Modem inawaka taa ya kijani na inakuwa
  slow sana lakini ikiwa HSDPA inawaka mwanga wa Bluu na inakuwa Faster ajabu!
  naomba kufahamishwa kwanini inatokea hivi? vitu hivi viwili vinatofautiana vipi?
   
 2. idete

  idete Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  High-Speed Downlink Packet Access ,ukiwa kwny edge huwezi kupata 3.7G ila ukipata signal za hsdpa unaweza kupata more signal za 3.5+
   
 3. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,533
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu, sasa inakuwaje mpaka unaipata hii na wakati mwingine unaikosa
  Modem ni ileile?
   
 4. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  itabid usearch network upya kwa kutumia manual
   
Loading...