Simu yangu imepoteza calculator.

Simu yangu imepoteza calculator.

Mutta

Senior Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
101
Reaction score
11
Simu yangu ni NOKIA 2690.Kama ilivyokawaida kwa simu za kisasa,simu yangu ilikuwa na calculator nikaiweka kwenye shortcut key kwenye right click. Jana nikawa nafanya simple calculations ikaadika " the calculator does not exist."Baadae ikajifuta.Je nifanyeje niirudishe?
 
Jaribu kurestart simu yako yaani izime, toa betri kisha rudishia na kuwasha. Check calculator, then leta jibu.
 
kama bado hutopata solution basi yafaa ukanunue hata vile ci casio au check settings za Nokia
 
Back
Top Bottom