Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
Ndugu zangu naomba mnisaidie computer yangu inaleta msg hii ninapoiwasha "The application failed to initialized properly" (0 x 80000003) na haiendelei tena na kuload icon za desktop
Ngoja waje wataalamu,kwani hata Task Manager haiwezi kufungua?
screen inakuwa ya blue au nyeusi?embu jaribu kuwasha in safe mode uone itakuwaje
window imekururpt, inawezekana virus wamesababisha, weka window nyingine tatizo litakwisha!
Nilikuwa natumia avast 2011 ambayo ilikuwa active
@Mkare_wenu atawezaje Ku Repair Windows, wakati File zake zimeliwa na Virus? kwanza aiondoshe hiyo virus kisha ndio anaweza ku Repair Windows Mkuu.Just Repair coz kama imecorrupt kuna files za window zitakuwa zimetafunwa na virus
My pleasure comradeNawashukuru sana ndugu zangu nime repair imekuwa ok, Mungu awabariki sana