jinsi ya kumgundua mtu aliyejificha kwenye yahoo msger (yahoo invisible) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jinsi ya kumgundua mtu aliyejificha kwenye yahoo msger (yahoo invisible)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Fatma Bawazir, May 21, 2012.

 1. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jinsi ya kumgundua mtu aliye jificha kwenye yahoo messenger yahoo invisible tumia yahoo cheker utaweza kumjua kama yuko on line au off line ingia hapa Yahoo Invisible Checker can Detect Invisible Yahoo Messenger Users ingiza user ID ya unaetaka kumuona halafu click check utajua kama yuko on line au off line na avata yake pia itaonekana
   
 2. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  there after ukishajua ufanye je??????
  uta chat nae wakati hataki thats why kaweka offline?????
  technology nyingine bana...
  utazani zimebuniwa na watu wa IT pale magogoni?????
   
Loading...