Wadau nimekwama naombeni mnikwamue

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
PC yangu ni sony VAIO VGN-R220E,RAM ni 2GB,Window ni 7profesional,
Tatizo sijui lilianza vipi manake tunatumia wengi,
ni kwamba,ukii boot inakuletea kale ka prompt cha 'Startup repair',nimejaribu kuweka window upya ila naona kama CD ROOM haionyeshi ushirikiano,sijui imekufa?
Nimejaribu kwa bootable USB pia nimekwama,
je,kuna namna nyingine naweza ku solve hili tatizo??
Msaada wenu please, wiki ya pili sasa kazi zimekwama..!
 
unachotaka kusolve ni kipi kati ya kuondoa startup repair au kuifanya cd i boot! . Pitiapitia post zilizopita znaelezea jins ya kuboot kama hauna cd.
 
mkuu nataka niondoe hiyo startup repair na pc i boot,kma kuna mwenye link ya hizo past posts naombeni mnisaidie natumia sim
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom