Google favors gTLD's, kwahiyo na prefer .tz than......

SamJet

Senior Member
Jul 22, 2009
162
13
Wadau, ukifuatilia hii habari inaonekana google search wana lazimika ku favor search results zinazo kuwa na gTLD's.....check hiii habari.

Will Search Engines give higher ranking for the gTLDs for related search phrases?
There is definitely potential for that.
It is a genuine objective of the New gTLD program to develop new tlds which convey meaning or purpose for content. It is the primary objective of search engines to provide relevant, meaningful , valuable information to its users.
If those goals are met then , yes, probably they will get a ranking boost.

We unaonaje...
 
Nonsense, google wanataka relevant results hakuna sababu ya kupendelea domain za aina fulani cha muhimu ni content ya website.
 
hata kama ni subdomain .... kinacho tazamwa na search engines ni content tu
 
inategemea mfano kuna domain kama co.cc, co.tv hizi google ameziban kwa sababu zinafanya sana uhuni wa phishing na hacking kwa sababu ni zabure na .tk anafkiriwa soon nae atakua hayupo. hii inaonesha unaweza ukawa na website nzuri lakini kuwa na domain mbaya kukakuharibia

lakini angalia domain za blogs kama wordpress na blogspot even though sio toplevel domain lakini zipo very visible kwenye search engine kwanini? kwa sababu script na utengenezaji wake umekua designed uwe search engine friendly hii inaonesha sio jina la website bali ni content

so it depend upo kundi gani it may or it may not
 
Back
Top Bottom