Ushauri toka kwenu wana jf

mshamu

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
418
133
Nataka kununu printer aina ya EPSON 1410 sasa nimezunguka madukani hapa dar sijafanikiwa naomba mwenye kujua duka ambalo naweza kupata na bei yake nitashukuru. Pia kama ikishindikana basi nipate ushauri wa mbadala wake yani printer gani nzuri kwa ajili ya colour printing especial photo. Pia ambayo naweza kujaza wino bila usumbufu ili niweze kufanikisha kabiashara kangu na kutoa huduma kwa bei nafuu. Asanteni kwa watakao nishauri. Kwa atakae kuwa tayari kunisadia aweke na No ya simu nitwasiliana naye.
 
Back
Top Bottom