Msaada jinsi ya kutumia satellite dish moja kwa decoder mbili!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jinsi ya kutumia satellite dish moja kwa decoder mbili!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kapotolo, Sep 30, 2012.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wakuu nina decoder mbili za dstv, nataka kuziunga zote na niwe na uwezo wa kubadilisha channels kwenye kila decoder kwenye tv mbili tofauti kwa kutumia dish moja.

  Naomba msaada wenu wakuu kama nimeeleweka.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wajuvi hampo, mbona kimya!!!
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  hawa wataalam wameenda kujirusha.....haya bado nasubiri
   
 4. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Kadishi kadogo hako kafuti 2 si kanauzwa bei ndogo tu nunua cha pili 30,000 tu kama huna haraka subiri waje kina Arselona
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. e

  emgitty06 Senior Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unahitaji kitu wanaita LNB ya njia mbili (50,000tshs) kusudi uweze kuvuta cable mbili kutoka kwenye dish lako. Kisha wahitaji waya mmoja (heat beat cable) ili kusafilisha signal toka decoder moja itakayoitwa primary kwenda kwenye decoder ya pili itakayoitwa secondary. Kimsingi connection hii kwa mara ya kwanza ni vema ukaifanyia pale ofisini kwao oysterbay
   
 6. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  I appreciate
   
 7. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280

  Mkuu hii ni suala la ufundi kamili, kwahio kama unalipia hizo decorders zako itabidi uwasiliane na service provider wako (assumed ni DSTV) na uwaambie unataka multi room channels.

  Kama decorders hizo zina kadi yake na unalipia, hilo halitakuwa tatizo.

  Kwahio kila seti ya TV ilipo na box lake vitakuwa independent kwa mfano sebuleni na chumbani, lakini vikitumia Dish ambalo lina tundu zaidi ya moja ili kuchomeka coaxial cables mbili.

  Hivyo basi nyaya mbili kutoka kwenye dish moja itaingia sebuleni na ingine itakwenda chumbani na decorder itakuwa independent.

  Angalizo

  Mimi nazungumzia uzoefu wa kutumia service kama SKY au Multi Choice na zingine.
   
 8. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Hiyo huduma inaitwa EXTRA VIEW na lazima installation hiyo kwa mara ya kwanza ifanyikie dstv,na kwenye malipo inaongezeka dola16.
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante mkuu, ni dstv
   
Loading...