wataalamu wa IT naomba mnisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wataalamu wa IT naomba mnisaidie

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by queenkami, Sep 28, 2012.

 1. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Heshima zenu wakuu.

  Wakuu kuna kitu kimetokea kwenye facebook account yangu ambacho sikielewi.
  Yaani leo wakati nasign in nimeshangaakupata notification ikisema FULANI ACCEPTED YOUR FRIEND REQUEST wakati mimi sijawahi kumu ADD huyu mtu hata kwa makosa.Na tayari mimi na huyu fulani tumeshakua marafiki wa facebook.

  Nimeshabadilisha password yangu ila bado nina hofu maana sielewi elewi kilichotokea..
  Hakuna mtu anayejua password yangu..wala sijawahi kutumia computer ya mtu kuingia facebook..wala sijawahi kutumia public computer..

  Naombeni mniambie nifanyaje na pia kama kuna anayejua kilichotokea anifafanulie maana marafiki zangu wote wa facebook ni watu tunaoheshimiana sana hivyo kama mtu anaweza ku ADD mtu bila ridhaa yangu naogopa asijepost au kuandika meseji za ajabu ajabu kwa rafiki zangu.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pole, queenkami, je, unafahamiana na huyo mtu? kama hapana, get bold na umdelete from your list.
  Otherwise, there must be a loophole somewhere. hata simmu yako, au computer yako mwenyewe.
  How often do you change the password anyway?

  Nitarejea kwenye swali la kwanza, la kama mnafahamiana, pengine inawezekana amekuwa akifatilia muda mrefu upenyo huo. Na hata kama mnafahamiana, delete ujikaushe, kama umemuadda bahati mbaya, basi unaweza kumdelete kwa bahati mbaya pia mambo yakaisha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Endangered huyo mtu nafahamiana naye...ila sikua nataka kumu add..baada yakutokea nimemuadd bila kujua nimemuadd vipi natamani kumdelete ila nashindwa...ni jamaa yangu..password nimebadili leo kwa mara ya kwanza tokea nijiunge facebook..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  pole mamii, naelewa ikoje kushindwa kumtoa. Among reasons ya kujitoa fb, mojawapo ni hyo. Sikuweza kuwa na classmates, siblings, wanakwaya, colleagues, majirani, etc.. Wote under one roof. Nikaona isiwe issue, Disable account. Ni muhimu sana uwe unachange password kila mara, atleast once in a month. The more sensitive and secure you need to be, then have a very strong pAs9sW0oRD. Huwezi jua ni computer ipi haukuverify signing out na mtu akatake advantage. Be careful!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  okay dear nashukuru...uwe na wakati mwema...
   
 6. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,918
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Pia kuna hili kama ulishawah kufanya..kama ulishawah ktumia simu ya mtu kw login na hiyo simu ina facebook application, mara nying weng husahau ku logout na ku exit, ila baadae mtu mwngne akija kuifungua inakwenda direct kweny account yako..
   
 7. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama njia zote walizosema wakuu juu hazikutumika, you might have been hacked in a more sophisticated way for example: hacking facebook with backtrack 5 or hacking facebook with IP address using backtrack 5. Pole.
   
 8. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo mkuu kama ndio wamenihack kama unavyosema....nifanyaje kwa usalama wa account yangu...
   
 9. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ni kuchukua hatua za kujikinga kama walivyoshauri wadau wengine. Halafu angalia isijekuwa amebadili settings halafu email na fb msgs zikawa forwarded kwenye email account yake! Kama ni hivyo "undo" settings. Ni hayo tu mrembo.
   
 10. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Epuka kuclick link zinazojifanya kuadvertise ambazo huzijui, pia epuka kufungua email hasa spam ambazo unaona hazina maana kwako, maana kwa kufanya hivyo mara nyingi unasubmit account details zako kwa mtu.
   
Loading...