Msaada wakuu:mshahara haujatoka kisa mfumo wa epicar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu:mshahara haujatoka kisa mfumo wa epicar

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by THE GREAT CAMP, Oct 2, 2012.

 1. THE GREAT CAMP

  THE GREAT CAMP JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 767
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa kawaida mishahara serikalini hutoka kati ya tarehe 25-27 ya kila mwezi. Lakini mpaka leo baadhi ya watumishi Mkoani Morogoro hasa waajiriwa wa Katibu Tawala Mkoa hawajapata mishahara yao. Ukiuliza sababu unaambiwa watendaji wa Hazina Ndogo Morogoro wameshindwa kuutumia Mfumo mpya wa malipo wa EPICAR. Wakuu kama kuna mtu anayejua huo mfumo wa EPICAR tunaomba Msaada wa kuwasaidia hao jamaa wa Hazina ndogo Morogoro maana wafanyakazi wanalia sasa kwa kuchelewa kupata mishahara yao.
  SOURCE: mimi mwenyewe nipo Morogoro.
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hao ni wahuni tu, ina maana hakukuwa na training kabla ya kuaznishwa kwa huo mfumo wao mpya?
  This is sop wrong, aliwawekea/uanzisha yuko wapi awafundishe? nadhani hizo ni siasa tu wanafanya klucheza na maisha ya watu. Kama wameshindwa si watumie njia ya zamani asi, au la si watimuliwe waletwe wanaojua?
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hayo mambo ya system huwa yanakua solved kwa siku moja hata kama Payroll inasumbua katika System haiwezi kuchelewa kiasi hicho ukizingatia mshara wa m2 sio kitu cha kuchezea mkuu.

  Vumilia kama tatizo ni kwenye system mkuu inawezekana coz hawa wezi kufanya remittance.
   
 4. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  pwani mkulanga napo mishahara bado nadhani ni tatizo 1
   
 5. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Hii problem mkuu hadi taasisi za Serikali kuu! sijui kama ni zote lakini najua baadhi. Serikali legelege na mambo yake legelege tu
   
Loading...