Number hii +16025575502737, nikipokea kimya hamna anaeongea, kuna mwenye kujua hizi number niza wap? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Number hii +16025575502737, nikipokea kimya hamna anaeongea, kuna mwenye kujua hizi number niza wap?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by AcinonyxJubatus, Sep 29, 2012.

 1. AcinonyxJubatus

  AcinonyxJubatus Senior Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Salam. Natumaini muu wazima.
  Leo nimepata call na
  Number hii +16025575502737 imenipigia leo, nikipokea kimya hamna anaeongea, kuna mwenye kujua hizi number niza wapi? Kuna mtu ameshawahi kupigiwa na number kama hii??
   
 2. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ukiipokea imekula kwako, kama vipi badili namba zako za siri za NMB,M -Pesa, Z- Pesa ,Airtel Money na taarifa zako nyingi ambazo umeziunganisha na namba yako ya simu.Badili haraka hiyo huwa zinakuwaga namba za ma Hacker ikiipokea tu inagenerate info zako zote na kuzituma kwa mtu alokupigia.next time usipokee namba isiyoielewa Brah
   
 3. l

  lusuadam Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hata nami nimekuwa nikipikea namba fulani inayoanzia+81. Uzuri wake huwa wanapiga kwenye mtandao ambao sijauunganisha na mambo ya kifedha
   
 4. Lazarus

  Lazarus JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  kitu kimoja. Usiseme usilolijua.
  Chukua digit tatu za mwanzo kisha zieke kwenye google na andika country code. Zitakuletea. Huwa ni m2 aliye nje ya nchi.
   
 5. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,276
  Likes Received: 10,290
  Trophy Points: 280
  Hizo ni setelite call.
   
 6. g

  geophysics JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Usimtishe mwenzio...sio kweli kuwa ni hackers...mbona hizi simu nazipokea sana tu.... Hii ni simu mtu kapiga kutoka nje ya nchi...(Kama una rafiki au ndugu yupo ARIZONA- Marekani ndo imetokea....maana ni area code ya huko... Ikiingia katika mitandao ya bongo inasoma local phone numbers kama airtel, voda au tigo.... plus area code itokako au wakati mwingine inasoma local phone bila hiyo code. Inatokea mara nyingi sana nadhani ni udhahifu wa mintandao yetu.... Akipiga pokea nakuhakikishia sio hackers.
   
 7. g

  geophysics JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Thats correct...
   
Loading...