Hapa inakuwaje wadau?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa inakuwaje wadau??

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sugi, Oct 1, 2012.

 1. s

  sugi JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Mwenye ujuzi na hili suala tafadhari nifahamishe!Kenya hivi sasa wanaendelea na zoezi la kuzima simu za kughushi,hivi wanawezaje kuzitambua wakati zipo mikononi mwa watumiaji???Na wanamaana gani wanaposema wanazima simu?,maana mwenye kuzima au kuwasha simu ni mmiliki wa simu,tafadhari mwenye ufahamu na jambo hili anisaidie
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,754
  Likes Received: 7,033
  Trophy Points: 280
  dah mi sjaelewa pia ila naweza kuguess kwa uzoefu.

  Wanaposema kuzima simu nafkiri ni kuzikatia mawasiliano yaani wasipate network (kama vile mtu asie sajili laini tanzania anavofanyiwa)

  Kuhusu simu fake hio sio big issue kwani kila simu duniani ina kitu kinaitwa imei na kitaalamu imei inaweza kuonyesha quality na eneo ilipotengenezwa na manufacture so it is easy work

  Pia mtandao wa simu una namna zake za kujua mfano mzuri tanzania ni airtel kuomba setting kwa airtel unaandika neno internet kwenda 232 kama simu yako ipo compatible watakutumia na kama simu haipo compatible ie ya kichina basi hawatumi
  Mfano huu unaonesha wanajua

  Then mwisho nafkiri sio vizuri kuziita simu fake bali hizi ni simu zenye quality ndogo
   
Loading...