Extenal HDD USB 3.0 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Extenal HDD USB 3.0

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Baraka F.K, Sep 28, 2012.

 1. Baraka F.K

  Baraka F.K Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada wadau wa teknolojia,
  Nimenunua External HDD ya Toshiba inasoma speed 3.0 kwenye USB port.
  Katika Computer moja ya ofisin inasoma na kufanya kazi, hivyo nikawa naitumia kuhifadhi nyaraka zangu, tatizo ni kwamba nimefika katika Laptop ya nyumbani haifanyi kazi, nimejaribu katika desktop nyingne pia haifanyi kazi.
  Inafanya configuration lakini haisomi,
  Naomba msaada nataka niweze kuitumia katika laptop yangu
   
 2. Gtrury

  Gtrury Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Laptop yako hiyo haina speed ya 3.0 bali inahitaji HDD ya speed ya 2.0 hii ni speed ya USB Port.
   
Loading...