Cimu za mkononi fake (simu ghushi) mwisho uciku wa leo Tarehe 30.09.2012 Kenya..

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,539
9,462
Inategemewa cimu za mkononi zaidi ya 2.5M zitatupwa nje ya matumizi ifikapo saa sita leo uciku.. Hiyo imetokea baada ya serikali ya Kenya kupitia mamlaka ya mawaciliano kuamua kupiga marufuku cimu zote za mkononi zenye viwango vya chini (yaani Mchina).. Wakenya walipewa muda wa kubadilisha cimu za mkononi ambazo zilikuwa na viwango duni.. Muda huo unaisha leo saa 5 na dakika 59 uciku..

Check on youtube kwa link hii chini kwa wale wacioamini..

http://m.youtube.com/watch?gl=US&hl=en&client=mv-google&v=oHDlucDtdkU
 
Ha ha ha Mkuu.. Yaani wanazungumzia watazi-dispose vpi hizo handsets ili kuondoa uharibifu wa mazingira.. Kumbe dampo liko huku.. Duuuh..

everything is possible Tanzania mkuu.....soko la wachina litaamia hapa coz wakenya wamezamilia kupapambana na hawa jamaa....its just two weeks ago wamewafunga wachina wawili six months each kwa kosa la bidhaa feki
 
Ndiyo maana nikauliza watawezaje kufanya hivyo? .... explain to me.

Mkuu network nadhani ina uwezo wa kutambua celfon fake na kuikataa.. Any way walichoambiwa kule ni watume IMEI no zao za celfon kama c fake watapewa taarifa.. Kama ni fake wataambiwa..
 
Mkuu network nadhani ina uwezo wa kutambua celfon fake na kuikataa.. Any way walichoambiwa kule ni watume IMEI no zao za celfon kama c fake watapewa taarifa.. Kama ni fake wataambiwa..
Duh! .. nadshani umeamua kuamini.
 
Inategemewa cimu za mkononi zaidi ya 2.5M zitatupwa nje ya matumizi ifikapo saa sita leo uciku.. Hiyo imetokea baada ya serikali ya Kenya kupitia mamlaka ya mawaciliano kuamua kupiga marufuku cimu zote za mkononi zenye viwango vya chini (yaani Mchina).. Wakenya walipewa muda wa kubadilisha cimu za mkononi ambazo zilikuwa na viwango duni.. Muda huo unaisha leo saa 5 na dakika 59 uciku..
Natamani ningekuwa raia wa huko maana hapa kwetu hakuna serikali na iliyoko ni sehemu ya matapeli wanaoingiza simu fake na kuwakingia kifua wahalifu wanaouharibu uchumi wetu. Big up Kenya!
 
Bado sijakubaliana na mtoa mada, haya mkuu endelea kufurahisha Jukwaa.

Mkuu nimeangalia habari za saa moja uciku Citizen TV.. Wametoa habari kamili na wameonyesha jinci gani wakenya walivyokuwa wanahangaika kwenye maduka ya cimu kununua cimu za mkononi genuine.. Tatizo letu sie ndo kama hivi Mkuu.. Unaona haya mambo hayawezekani.. Wenzetu haooo..
 
Mkuu network nadhani ina uwezo wa kutambua celfon fake na kuikataa.. Any way walichoambiwa kule ni watume IMEI no zao za celfon kama c fake watapewa taarifa.. Kama ni fake wataambiwa..

mkuuu sosoliso hizi c ndio kitu gani bwana usiwemvivu andika kinachoeleweka..
 
mkuuu sosoliso hizi c ndio kitu gani bwana usiwemvivu andika kinachoeleweka..

Mkuu.. Ifikapo saa sita kamili uciku wa leo.. Cimu zote fake zitakuwa phased out.. Hazitatumika tena.. Network itagundua cimu ambayo ni fake through IMEI No.. Na itaikataa kuitambua.. Kwenye projections zao wamesema celfon 2.5M ni fake na zitaondolewa.. Umenipata..?
 
Back
Top Bottom