Msaada wa jinsi ya kupload picha(attachment)

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,941
Wadau,
binafsi napata wakati mgumu sana kuupload picha(attachments). Natumia UC BROWSER na OPERAMINI, zote nikijaribu kutumia zinajibu UPLOAD ERRORS.. NAOMBENI MSAADA WENU NATUMIA MOBILE PHONE
 
Wakuu ndio kusema hakuna msaada nashndwa ku'uploadd picha ndugu zangu
 
na mimi kila nikijaribu nashindwa,nadhani kwenye simu haiwezekani.....ngoja tuwasubiri wataalam...:ranger:
 
kwanii usii upload kwenye website nyngnee then utumie atachment by link
 
na mimi kila nikijaribu nashindwa,nadhani kwenye simu haiwezekani.....ngoja tuwasubiri wataalam...:ranger:

wataalamu wenyewe wamekimbia hili sasa limekuwa JANGA hapa JF.. Watumiaji wa simu tunatengwa MODS fanyien kazi hili tatizi sio wote wenye wa kuwa na computer.. Wengine huku tulipo kuijua JF tu ilipaswa tupewe u'DR wa heshima
 
kabla cjaendelea, kwanza unajua ku-attach pics toka kwenye sites zingine?
 
Wadau,
binafsi napata wakati mgumu sana kuupload picha(attachments). Natumia UC BROWSER na OPERAMINI, zote nikijaribu kutumia zinajibu UPLOAD ERRORS.. NAOMBENI MSAADA WENU NATUMIA MOBILE PHONE
na mimi kila nikijaribu nashindwa,nadhani kwenye simu haiwezekani.....ngoja tuwasubiri wataalam...

wataalamu wenyewe wamekimbia hili sasa limekuwa JANGA hapa JF.. Watumiaji wa simu tunatengwa MODS fanyien kazi hili tatizi sio wote wenye wa kuwa na computer.. Wengine huku tulipo kuijua JF tu ilipaswa tupewe u'DR wa heshima

Unatumia simu gani na Browser gani?
 
Wadau,
binafsi napata wakati mgumu sana kuupload picha(attachments). Natumia UC BROWSER na OPERAMINI, zote nikijaribu kutumia zinajibu UPLOAD ERRORS.. NAOMBENI MSAADA WENU NATUMIA MOBILE PHONE

swali kama lako tayari watu wengi wameliuliza, kama unaweza jaribu ku search kwanza kabla hujapost thread mpya especially za maswali yanayoihusu JF
 
jibu pia swali nlilouliza then ntaproceed kwenye jinc ya kuweka pic

Mkuu usichoke kutuelimisha, natumia US Browser........ manage attachments nafika kama kawaida,ninaselect file ninalotaka naa-Upload inakubali...tatizo nikisha upload picha haitokei kwenye post.!? Nitashukuru kwa msaada.!
 
yeah ndo nakuuliza, je unaweza ku attach picha kutoka mtandao mwingine? Kama hii, cjai upload bali nimeitoa from another site. Can you do that? Then 2taenda kwenye original problem
ihatefacebook.png
 
mkuu kuattach toka mtandandao mwingine na hiyo siwezi/sijawai kujaribu.!
 
yeah ndo nakuuliza, je unaweza ku attach picha kutoka mtandao mwingine? Kama hii, cjai upload bali nimeitoa from another site. Can you do that? Then 2taenda kwenye original problem
ihatefacebook.png

tuelimishe na hili
 
Okay wakuu b4 yakujua ku-upload 4rm your mobile inabidi ujue ku attach toka site nyingine, and this is how. Kwa opera unafanya kama unavofanya ukiwa unataka kudownload pic from a site by pressing MENU>tools>page info>Download img then chagua image yako ukiiclick copy location yake by pressing MENU>tools>add bookmark then nenda kwenye address copy ile address afu rudi jf sehem unapotaka kuweka pic andika hivi "IMG]paste hapa ile adress[/IMG" BADALA YA HIZO "" WEKA [ mwanzo na ] mwisho sjaziweka maana nikiziweka hutaona ki2. Okay jaribun kuweka pics hizo, after that 2naenda kwenye original prob jinc ya kuweka from mobile.
 
Asante mkuu ["MENTION=Good Guy[/MENTION"]
tupe na hio ya kutoka kwenye memory card
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom