Dar teknohama business incubator invite you to attend cms workshop / training

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
554
250
Greyfade Company Ltd is organizing one week training to equip participants with the skills, knowledge and techniques of designing, developing and maintaining good websites without even being technical experts by using Open source Content Management System called Joomla! Since Joomla is free, you will not need to buy the license or paying monthly expenses for maintaining the website.

Target audience for this training include, Web masters, Computer Systems Analysts, Computer Systems Administrators, Communication officers, Public relation officers and all those who wish to acquire the skills, knowledge and techniques of designing and developing websites. Prior knowledge of CMS or website developing is not necessary. This training is also suitable for those already with website development skills and willing to enhance their knowledge by learning new techniques and work with new features and extensions.WHEN: Monday, 3rd to Saturday 8th December, 2012 - 05:00 pm – 07:00pm.
WHERE: Commission for Science and Technology (COSTECH) - Building, 3rd Floor - Wing A - Ali Hassan Mwinyi Road, Kijitonyama
AWARD: Certificate of Participation
COST: Tsh. 250,000/ - Including Wordpad, Pen, Training Materials (1 CD and 1 pamphlet) and Certificate of participation.How to Pay: Write cheque to Grey Fade ICT Solutions
Bank Name: CRDB PLC Branch: Azikiwe - DSM Acc. Name: Grey Fade ICT Solutions
Acc. No: 01J1024794100
Or Pay cash at our Office and obtain receipt.

APPLY ONLINE TO RESERVE SEAT
 
Nyasiro

Verified Member
Feb 20, 2012
1,199
1,225

hawawezi kuwa siriaz kwa huu uchumi wa bongo 250,000/= !!!
 
HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
0
250/- only for Joomla? Mlifanya research ya kutosha kweli?
Aisee!
 
Nyasiro

Verified Member
Feb 20, 2012
1,199
1,225
Mbona mi naona sawa tu iyo.... Ndio opportunity zenyewe izo
hbi hiyo sio sawa kabisa yani ntoe sh 250000 ndani ya cku 5 kisa kujifunza joomla!!!! hapana hii haingii akilini kabisa ni kipi hicho ambacho kinawafanya waweke hiyo bei. Bora ntumie efu 50 kusearch videos kuperuzi mtandao tena kama ni mm hiyo 250000 nanunua domain na hosting space kwa ajili ya kufanya practice
 
Last edited by a moderator:

We nyasiro unasema nini na wakati the same training sisi tulilipishwa LAKI 5 (500,000) pale kijitonyama tawi la udsm jamaa naona wako very fair sana
 
  • Thanks
Reactions: hbi

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
554
250
250/- only for Joomla? Mlifanya research ya kutosha kweli?
Aisee!
Sisi hua ni kupinga kila kitu na kulalamika halafu hatuchukui hatua uliza ama fanya tafiti wangapi wanaweza itumia effective , matokeo yake tunalalamika wakenya wakenya, na website zetu kua hacked kila siku na design mbovu ya ajabu, angalia website ya necta, angalia karibu zote za wizara utaona zilivyo mbovu......tumia resource zilizopo to do more better na si kupinga kila kitu:A S 100:
 
  • Thanks
Reactions: hbi

hbi

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
678
250
hbi hiyo sio sawa kabisa yani ntoe sh 250000 ndani ya cku 5 kisa kujifunza joomla!!!! hapana hii haingii akilini kabisa ni kipi hicho ambacho kinawafanya waweke hiyo bei. Bora ntumie efu 50 kusearch videos kuperuzi mtandao tena kama ni mm hiyo 250000 nanunua domain na hosting space kwa ajili ya kufanya practice
Unachokizungumza ni sawa kabisa, lakini pia kumbuka sio kila mtu mwenye uwezo wa kujifunza mwenyewe kuna watu wengine mpaka apewe kama starter kwanza ndio anaweza akaendelea mwenyewe... Faida utakayoipata kwenye workshop kama iyo ni kuongezewa ujuzi ata kama tayari unao, na pia utafundishwa namna ya kusecure website yako ikiwa ni pamoja na kitu kinachoitwa S.E.O.. Kwa sababu watu wengi wanadhani kutengeneza website kunaishia pale unapokua umeweka contents zako.. Hiyo pekee haitoshi kuna mambo mengi sana yanayotakiwa mtu afaham... Na suala la gharma 250k ni fair kwani woekshop iliyopita kijitonyama watu walitoa 500k... Vile vile kuna nyingine iliandaliwa na TWiga Hosting gharama zao ni juu zaidi karibu dola 400 mpaka 500.....
Tuchukulie mfano hai, DVD ya Linda ya Essential Training ya Joomla ni Sh ngapi... sema kwa sababu mtu unakuta unaweza kuipirate ndio maana unaona kama unaibiwa....

Mimi mwenyewe ninajipanga nataka nitumie fursa izo kwa mikoani naamini itanilipa..
 
Nyasiro

Verified Member
Feb 20, 2012
1,199
1,225
We nyasiro unasema nini na wakati the same training sisi tulilipishwa LAKI 5 (500,000) pale kijitonyama tawi la udsm jamaa naona wako very fair sana
mlilazimishwa? kila mtu na mawazo yake lakini kwangu mimi labda ingekua elfu 50 ndo ngetoa.

Unachokizungumza ni sawa kabisa, lakini pia kumbuka sio kila mtu mwenye uwezo wa kujifunza mwenyewe kuna watu wengine mpaka apewe kama starter kwanza ndio anaweza akaendelea mwenyewe... Faida utakayoipata kwenye workshop kama iyo ni kuongezewa ujuzi ata kama tayari unao, na pia utafundishwa namna ya kusecure website yako ikiwa ni pamoja na kitu kinachoitwa S.E.O.. Kwa sababu watu wengi wanadhani kutengeneza website kunaishia pale unapokua umeweka contents zako.. Hiyo pekee haitoshi kuna mambo mengi sana yanayotakiwa mtu afaham... Na suala la gharma 250k ni fair kwani woekshop iliyopita kijitonyama watu walitoa 500k... Vile vile kuna nyingine iliandaliwa na TWiga Hosting gharama zao ni juu zaidi karibu dola 400 mpaka 500.....
Tuchukulie mfano hai, DVD ya Linda ya Essential Training ya Joomla ni Sh ngapi... sema kwa sababu mtu unakuta unaweza kuipirate ndio maana unaona kama unaibiwa....

Mimi mwenyewe ninajipanga nataka nitumie fursa izo kwa mikoani naamini itanilipa..
mhhh! jamani kumbe hii TZ wenye matatizo ya pesa ni wachache. lakini si mbaya kwa kuwa unafanya kitu chenye umuhimu.

duu kweli ukiona elimu ni ghali jaribu ujinga..
hata kama lakini sio kiivyo.
 
mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
554
250
Always ujinga wetu ndio unatuponza tunajua sana ku critisize bila sababu za kueleweka,ujinga ni gharama kubwa kuliko umaskini we utakaokua nao......
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,297
2,000
Jamani hiyo ni $150 kwa 5 days of training hiyo ni reasonable sana tuache kulalamika kwa kila kitu.
 
Top Bottom