Kwa wenye ujuzi wa satelite dishi...

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
889
500
Natumia dishi kupata hizi local channels za hapa tanzania ila tatzo kila ikifika sambili usike picha znaanza kuganda au kukata kabisa nimehangaika ila cjapata mafanikio, tatzo laweza kuwa nini? Lakn mchana znashka vzur tu.
 
July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,243
2,000
Natumia dishi kupata hizi local channels za hapa tanzania ila tatzo kila ikifika sambili usike picha znaanza kuganda au kukata kabisa nimehangaika ila cjapata mafanikio, tatzo laweza kuwa nini? Lakn mchana znashka vzur tu.
mawimbi mkuu.. Tafta fundi akurekebishie.. {hapa namaanisha, a trust worthy fundi}, ukiingia mwenyewe utaharibu. Mfano mimi kila ilipokuwa ikifika saa 4 asubuhi, channel zote zinasepa. Zinabakia za intel ngapi sijui {upande wa aljazeera,bbc, cnn, n.k}then saa 4 na nusu zinarejea. Nikatafta fundi, nikamtoa cha 5. Karekebisha,mpaka wa leo.. {kama una dish futi 6, weka ndani, chukua ft 8, alitosombua kamwe, hasa hasa la nyavu}
 
Elai

Senior Member
May 26, 2011
148
195

Sasa MR. Dish la nyavu kwa wastani ni shilingi ngapi?
 
Top Bottom