Kwenye application yangu kuna part moja inatumia post() method ya xmlhttpRequest object kutuma request kwenda kwa server.
Nikitest katika localhost (eg. http://localhost/mysite/index.aspx) inafanya kazi vizuri, lakini nikituma iis server/machine ip address (eg. http://159.99.120.1/mysite/index.aspx) http request ina fails.
Note:
http request ni part tuu, kati ya business logic nzima.
process huanza kwa user kubonyeza send button kwenye index.aspx, textbox inatokea, user anaingiza text, then ana submit, then request inatumwa kwenda kwa server, finally tunapokea response.
Naomba msaada.