Natafuta Adobe Creative Suite6 au CS5 Master Collection

Natafuta Adobe Creative Suite6 au CS5 Master Collection

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
440
Reaction score
173
Wakuu mwenye Adobe CS5/6 anipm. Nipo Dar...yeyote itafaa windows au mac.
 
i have it cs6 ya mac ila sijaitest hope itakua ok maana source zangu hua hazidanganyi
 
mkuu. hiyo elfu 40 unapewa GB ngapi? Adobe CS5 nliyonayo ina 13GB. atatumia kias.gan?
Kwa voda 5gb ni 20,000 sasa piga hesabu basi uone! rahisi kiasi hicho. Mie huwa napakuwa nikiwa nimefunga macho! rahisi tu hivyo. Ukisubiri vya bure zaidi ya hapo haya bwana!
 
kuna wajanja night ofa 200/= vodacom kuanzia saa tano mpaka asubuhi, unlimited, kama upo sehemu inashika 3g unadownload tu kirahisi
 
njoo na external hard disk uchukue, nipo kigamboni, email:wanatamani@gmail.com
phone: 0719-504567 ipo cs6 na cs 5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom