Hii Mashine ina nichanganya MSAADA WENU TAFADHALI

gwambali

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
230
Points
195

gwambali

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
230 195
Habari wakuu? nimenunua photocopy mashine ya Nashuatec DSM620
tatizo nimeshindwa kujua inatumia Cartridge/Toner namba gapi, hivyo nimeshindwa kuitumia kwa kutokujua namba sahihi ya Toner yake... Nimejaribu kusearch kwenye mtandao naona toner namba 1230D ...


Kama wiki mbili hivi nilikwenda town kuulizia toner 1230D siku pata nikahisi uenda ikawa siyo toner yake hiyo....
Najua hapa JF hakuna kinacho shindikana na ndio maana nimekuja hapa mnisaidie nijue namba ya toner ambayo natakiwa kuitumia kwenye hii mashine

Niliinunua kwenye mnada na ni used, inafanya kazi vizuri tu, tatizo haina toner.


Naombeni msaada wenu wakuu
 

Forum statistics

Threads 1,389,287
Members 527,879
Posts 34,022,180
Top