Ukitumia Viber calling mbona inatoa mwangwi? masaada

Ukitumia Viber calling mbona inatoa mwangwi? masaada

Mtoomondo

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
76
Reaction score
33
Jaman wana JF naomba msaada nieleweshwe kuhusu matumizi ya viber, sms bure,unapiga simu bure lakini kunakuwa na mwangwi ambapo mtu unaezungumza na anakusikia baada ya sekunde chache tofauti na mitandao mingine kama tigo, vodacom Airtel n.k naombeni wajuzi wanijuze.
 
viber inafanya kazi sawa na skype kwenye pc, kutuma sms ni kama chat zile za whatsapp au messenger zingine, tofauti ya viber na mitandao ya simu ni kuwa viber unapiga simu kupitia internet, ndo maana hata kama huna salio lakini una internet kwenye simu yako unaweza kupiga, wakati mitandao ya simu ya kawaida hutumia mawimbi ya radio (mimi sio mtaalam wa mambo hayo) angalau kwa haraka haraka naweza sema hayo machache
 
Unapata hiyo delay kwa sababu internet yako sio bora, ina high latency yaani inachukua mida mrefu kwa data kufika kwa unaueongea naye. Tatizo pia linaweza kuwa upande wa pili.
 
Hi,

This is a member of the Viber R&D Team!
We're very happy to be here and answer your questions. 🙂
Matoomondo - Connection issue may be related to many different reasons, not all of them related to Viber necessarily. Please read more at: Android: Viber Connection Issues

Please feel free to let us know your thoughts, questions and comments, we'd be happy to assist.
Thanks,
Viber
 
Last edited by a moderator:

Why fiber need high internet connection to support calls?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom