Acer aspire one d255e display

Hansy wa East

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
451
250
Wadau naombeni msaada wa kiufundi jamaa kaangusha pc yake aina nimeweka hapo juu imekata display inaonesha mistari tu baaada ya kuiangusha. sasa inaweza kutengenezwa au mpaka display ibadilishwe?
 
Top Bottom