Nokia Xpress music 5800


C

chante

Senior Member
Joined
Mar 11, 2011
Messages
175
Likes
1
Points
35
Age
38
C

chante

Senior Member
Joined Mar 11, 2011
175 1 35
Habari za kazi wanafamilia wa jamii forums,nimenunua simu tajwa hapo juu,tatizo ni namna ya kujiunga na internet!msaada wenu ndugu zangu ,najua wengi wenu mantumia simu tajwa hapo juu ku access net,help guys....natumia mtandao wa tigo!
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,095
Likes
8,827
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,095 8,827 280
[post=4422996]
images?q=tbn:ANd9GcSeKzikLRgxqxHvCLBpPN28tz3S2F-OQ_xBnr7XSKoAohEcnOnYh1v5GHc
[/post]

click kibajaji twende utaona setting
 
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,927
Likes
46
Points
145
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,927 46 145
nokia-5800-xpressmusic-2.jpg


ni hiii...
 • kwanza unatumia mtandao upii.. jaribu kuwa muwaz zaidiiiiiiiiii.

njia nyngneeee

 1. fungua menu ya simu yako
 2. nenda setings
 3. nenda connection
 4. nenda access points
 5. option
 6. new access point
 7. hapa jaza hivi

 • connection name - chante
 • data bearer- packet data
 • access point name - chante
 • user name - aha hvohvo
 • prompt password - acha hvohvo
 • authentication eka normal
 • home page kama ni tigo iwe http://tigo.co.tz Kama ni voda iwe Vodacom Tanzania - Homepage
 • hapo utakua umemaliza
then nenda kwenye browser yako af i sellect hyooooooooooooo
 
C

chante

Senior Member
Joined
Mar 11, 2011
Messages
175
Likes
1
Points
35
Age
38
C

chante

Senior Member
Joined Mar 11, 2011
175 1 35
nokia-5800-xpressmusic-2.jpg


ni hiii...
 • kwanza unatumia mtandao upii.. jaribu kuwa muwaz zaidiiiiiiiiii.

njia nyngneeee

 1. fungua menu ya simu yako
 2. nenda setings
 3. nenda connection
 4. nenda access points
 5. option
 6. new access point
 7. hapa jaza hivi

 • connection name - chante
 • data bearer- packet data
 • access point name - chante
 • user name - aha hvohvo
 • prompt password - acha hvohvo
 • authentication eka normal
 • home page kama ni tigo iwe http://tigo.co.tz Kama ni voda iwe Vodacom Tanzania - Homepage
 • hapo utakua umemaliza
then nenda kwenye browser yako af i sellect hyooooooooooooo
thanks alot kaka,it worked....respect
 

Forum statistics

Threads 1,214,244
Members 462,614
Posts 28,506,248