Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kujua dunia inakwendaje ni Jambo la Muhimu maana kuna maamuzi juu ambayo yakitolewa ni lazima yaguse maisha ya kila moja wetu. Maisha yanakua mabaya au mazuri zaidi hilo usiniulize utajaza...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza, Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi ili niweze kupata picha nzuri katika...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wataalam, kuna shida yoyote katika mtandao wa twitter,mbona inazunguka tu? Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Samsung S23 Ultra inatarajiwa kutoka Februari mwaka huu na pia tetesi ni kwamba simu hiyo itakuja na kioo flat kabisa tofauti na ilivyo kwa toleo lililopita (Galaxy S22 Ultra) Samsung Galaxy S22...
9 Reactions
92 Replies
11K Views
Habari wana JamiiForums, na wadau wa humu kwenye Tech & Gadgets Forum nimeona sio mbaya leo kushare basics za Graphics Design kwa wale ambao wanafanya hii kitu tayari au wale ambao wana interest...
14 Reactions
27 Replies
4K Views
The TRAPPIEST-1e is a terrestrial exoplanet that orbits within the habitable zone around the ultracool dwarf star. It was discoverd by Michaël Gillon et al. on February of 2017. Similar to Earth's...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau. Nimekuwa na simu yangu iphone 6, lakn ghafla juzi hapa, nilitoa kwenye charger but nilipoiplug in baada ya muda ikakataa kuwaka na kuchaji...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Rejea mada tajwa hapo juu. Nataka kujua ni app gani hutumika kuchorea ramani
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar za muda huu wakuu!. Kama inavyoonesha hapo juu kwa izo brand 3 1. SKYWORTH 2. TCL 3. HISENSE nichague ipi kwa ajil ya matumiz yangu ya gheto .bajet yangu ni TV [emoji342] ya inchi 50...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumeona simu nyingi zinakufa betri (battery) kwa mda mfupi toka simu inunuliwe, hii inatokana na makosa ambayo tunafanya wakati wa kuchaji simu zetu. Makosa gani na nini kifanyike? Mara nyingi...
4 Reactions
3 Replies
5K Views
Mimi ni mdau mkubwa wa kusikiliza muziki kuna hii brand ya JBL nimeiona hawa wanamuziki muzuri Sana Lakini nimevutiwa na HIZI model zao JBL flip 5 na JBL flip essential IPi Bora yenye muziki...
1 Reactions
1 Replies
740 Views
Tunaenda dukan tunanunua vocha then tunajiunga bando Kisha bando twazitumia mitandaon fb google insta na kwengne ivi hakuna njia yoyote ya kunufaika kwa kupitia hizihizi bando zetu.angalia kma...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Eleza inkuwaje, he inawaka? Je inawaka na kuzima? Je inawaka alafu screen haioneshi? Je unata link ya programs zote bureee Je umechoka kununua antivirus? Tuzungumze uipate Dunia ya technology...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Huwa nakerwa sana na matangazo kibao nikifungua Internet kwenye simu yangu, MB zangu zinakwenda bure kwenye haya matangazo ambayo kwangu mimi hayanisaidii chochote. Wananzengo wajuzi nipeni njia...
0 Reactions
8 Replies
801 Views
Rundown Rwanda serve for Schooling Dr Valentine Uwamariya said the colleges and other higher learning foundations in the district ought to remain in front of the mechanical bend and adjust to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
During the previous 10 years, China has seen the jump forward of science and innovation (S&T), the fast improvement of sci-tech advancement capacity, and the unmistakable job that S&T plays...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aspiration is there yet assets may not be, African scholastics caution in front of highest point.<br><br> African scholastics have cautioned that Russia's desolated economy might battle to...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Figure out how to interpret meeting minutes with GPT-4 and Murmur, including OpenAI's six ways to come by the best outcomes from GPT-4. Features. *OpenAI has delivered an instructional exercise...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
[emoji189] WhatsApp wanakuja feature mpya ya kuwasaidia watu kuwa na uwezo wa kutuma video fupi fupi kwa mfumo wa Message,ni kama vile voice message. [emoji189] Ceo wa Meta Mark Zuckerberg...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Back
Top Bottom