Msaada: Jinsi ya ku add muziki uupendao Instagram

kazy

Senior Member
Sep 13, 2012
104
18
Wadau,naombeni msaada kujuzwa namna ya ku-add mziki uupendao instagram pindi unapotaka kupost insta feed au story.miziki niitakayo mfano ya kibongo kwenye search box yao haipo,natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom