Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakubwa naomba msaada wenu simu yangu inanitaka ku update na inaniletea hiyo notifications hapo chini[emoji116][emoji116]je nifanye Nini nifuate maelekezo au nikiyafata naharibu sim. Naomba...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Welcome X [emoji3] Tajiri wa ulimwenguni Mr Elon musk ambaye anasifika kwa kupenda kufanya maamuzi ya kivyakevyake, Leo ameanza mchakato wake wa kubadilisha maisha mapya wa mtandao wa Twitter...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ubora wa printer Epson 3010 na 3050 kwenye matumizi ya wino uimara na being IPI ni nzuri zaidi
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Hello bosses and roses, Miezi kadhaa iliopita nilisikia watu wanatishia kwamba kwa kuwa ChatGPT ina uwezo wa kugenerate 'codes' na kutengeneza algorithms basi sector ya programming nayo...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
1. Kubadili table zilizopo kwenye hardcopy pamoja na zile ambazo zimeandikwa kwa mkono kuwa csv format Sasa unaweza ku_convert table data ambazo zimeandikwa kwa mkono au ziko scanned kwenda...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Sensor Tower inayohusika na masuala ya utafiti wa Masoko ya Kimtandao, umebaini kuwa matumizi ya #Threads yameshuka kwa 75% ikiwa ni wiki chache tangu Mtandao...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Pole na majukumu ya hapa na pale. Nahitaji msaada wenu. Nlikuwa na account ya Instagram yenye 8K. Na bado ninayo. Lakini nilikaa kimya sana kwa muda mrefu kidogo. Ni account ambayo...
0 Reactions
4 Replies
637 Views
Habari wakuu, Nimeona matangazo mengi sana kuhusu simu za mkopo nilikuwa nina mpango wa kumchukulia mtu aweze kutumia. Sasa swali langu kama kuna mtu yoyote alishawahii kuchukua na akawa analipa...
5 Reactions
4 Replies
6K Views
Apps nzuri ya kuntuzia data Kisha ni unstall nikizihitaji ni zipate tena niki download.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbio za kuteka anga za Juu zinazidi kushika Kasi ambapo baadae mwaka huu Tanzania itaandika historia yake rasmi kwenye space race. Kwa mujibu wa Waziri Nape Rais Samia atazindua safari ya...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu mimi siyo mpenzi wa mziki wa sauti ya juu ila ni mpenzi wa vitu vizuri. Mwanzo nilikuwa nafikiri sub woofer ni mchina tu kumbe kuna sub woofer za brand kubwa tu. Fikra zangu za kufikiri...
8 Reactions
232 Replies
79K Views
Vita ya Teknolojia inazidi kushika Kasi Watanzania tukiendelea kujitesa kisa mapenzi, mavazi wenzetu wanazidi kuwa imara. Meta wametangaza vita dhidi ya Elon musk wa Kampuni ya Tesla. Kampuni...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Natafuta codes za simu tajwa hapo juu, Mwenye nazo aje tuyajenge, nakaribisha wadau wote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, Mwaka jana nilijikamua nkanunua kingamzi but mambo yameenda ndivo sivyo nkakosa hela ya kufungia. Sa ktk kupiga story jamaa akanambia ukipata maelezo mazuri waweza kufunga mwenyewe...
0 Reactions
10 Replies
20K Views
Wengi (sio wote) Uzi huu wala sina nia ya kuwaponda bali naweka tu awareness ya hali halisi, off course watabe wa IT wapo waliohitimu vyuo ila ni.wachache sana ukilinganisha na wengi ambao ni...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu, Katochi kangu kameanguka na kupasuka kioo..Najua Kariakoositakipata kwahyo Nina mpango wa kuagiza China, wapi ni salama zaidi na uhakika kupata bidhaa kati ya Aliexpress na Kikuu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Nime-refactorise simu yangu ajabu asilimia kubwa ya majina yaliyokuwa nimesevu kwenye email hayaonekani. Yamerudi machache sana. Tatizo litakuwa ni nini na je nifanyeje
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie formula ya kurahisisha kupata haya majibu kwenye excel. Kila Box lina chupa 3, chupa 1 ni 0.1, chupa 2 ni 0.2, chupa 3 ni 0.3 sawa na box. 1 ni box moja, 1.1 ni box 1 na unit...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Habarini Ndugu Wanajf Baada Ya Uzi Wa Wa Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1609441/ Nilipata Jumbe Nyingi Sana Kila Mtu Akihitaji Mwanga Wa...
32 Reactions
56 Replies
8K Views
Back
Top Bottom