cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 162
Solar panel ya 100watts yenye cells 36 huwa inakuwa na voltage ya 18volts(Vmp) na current ya 5.55Amps (Imp).ila formula ya power ni sawa na kuchukua Vmp × Imp ambapo 18v × 5.55=100watts.
Kwahiyo hapa tunachotakiwa kujua ni kwamba hii solar panel ikikaa juani kwa muda fulani itatengeneza power kiasi gani? Hapa tunatakiwa kuhusisha masaa ya jua kali ambapo yanatofautiana sehemu moja na sehemu nyingine lakini kwa kwa Tanzania sehemu nyingi tunapata masaa ya jua matano(5PSH) ambapo yanakua ni masaa ambayo panel itaweza kutengeneza power ya 1000w/m² kwenye STC.Piq solar panels kwa Tanzania ninatakiwa ziwekwe kwenye angle kati ya 10°-15° kuangalia upande wa kaskazini.
Kwahiyo kwa masaa matano(5PSH) panel ya 100watts inaweza kuzalisha 100watts × 5hours= 500Wh.
Lakini inabidi ukumbuke huu umeme utasafiri kutoka mahali panel ulipoiweka kwenda kwenye vifaa vyako kwahiyo kutakuwa na upotevu wa umeme kutokana na ;
1: solar panel manufacturing tolerance
2: voltage drop in cables
3:dust on the surface of the panel
4: inverter efficiency
5:losses through the charge controller.
So ukizingatia vitu vyote hivyo hapo juu tunaweza kadiria kuwa na losses zisizopungua 20%, kwahiyo tutaingiza haya mahesabu kwenye solar panel yetu ambapo utachukua 500Wh × 0.80= 400Wh, kwahiyo baada ya kuzingatia losses zote hizo, umeme utakaofika kwenye vifaa vyetu ni 400Wh. Hii power inayozalishwa inabidi ihifadhiwe kwenye battery kuja kutumika baadae wakati ikihitajika. Pia itahitajika charge controller ili kuweza kuchaji betri katila kiwango kinachohitajika bila kuharibu betri, solar panel ya 100watts huwa inakuwa na short circuit current ya 6.06A hii unatakiwa kuizidsha kwa 1.25 kupata size ya charge controller, so 6.06A×1.25=7Amps,kwahiyo utatakiwa kuwa na charge controller ya 7A.
Kujua size ya battery unatakiwa kuchukua power inayozalishwa na panel halafu ugawanye kwa volt za betri ambazo ni 12v, so 400Wh/12v=33.33Ah.
Betri zinazotumika kwenye solar system huwa ni deep cycle batteries ambazo hazitakiwi kuwa discharged more than 50% of its capacity, kwa hiyo size ya betri tuloipata inabidi kuizidisha mara mbili ili kupata betri ambalo litahifadhi mara mbili zaidi ya power itakayotumika so i will be using half of the power.
So 33.33Ah × 2=66.66Ah but storage capacity ya betri inabadilika based on temperature hii unaweza kuona kwenye betri data sheet so tufanye betri hili limeweka kwenye room yenye 60°F, the deration factor is 1.11, kwahiyo utachukua ile size ya betri ilopatikana uzidishe kwa hii factor ya temperature 66.66Ah×1.11=73.9926Ah ila dukani utachukua betri la 75Ah.
So with 400Wh unaweza kutumia;
1:tablet 7w ×4h=28Wh
2:cell phone 5w ×8hrs=40Wh
3😛rinter 75w ×1hr=75Wh
4:led bulbs 10w ×12hrs=120Wh
5:laptop 45w ×2hrs=90Wh
Total= 353Wh
Prepared by engineer cyber ghost