LOCAL SOSCIAL NETWORK HAZITOBOI WHY?

LOCAL SOSCIAL NETWORK HAZITOBOI WHY?

Marcovicsavic

Senior Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
132
Reaction score
308
Ukiachana na hizi social network za kimataifa za FB, IG na Twitter hakuna social network local,

Ukiachana na jamii forum ambayo ni forum, hakuna nyingine yenye hata kujikongoja,

Licha ya kwamba social network platform umekua mradi mzuri wenye kuwafanya watu kua mabilionea ila kwetu Tanzania hakuna kabisa,

Shida ni Wenye tasnia, mabosi wenye uwezo wa kuwekeza au mifumo ya serikali haitoi nafasi kwa innovators kuweza kupenya kwenye soko legally?
 
Unless umri wako ni mdogo ila kulikua na local social network nyingi mno, zimekufa baada ya kina FB kuja na kubadili model ya social network kuwa bure, FB walipata hela kwa kuuza data zako, huku local mtu hata akitaka kuuza haziuziki, sababu ya mitaji ya hao wa juu ikafanya hawa wadogo wadogo wafe.
 
Business model ya fb haijawahi kua yakuuza data hapo nakupinga, fb ina generate faida kwa ads(pay per view/clicks ) ads, kuuza data za user mzee ni illegal, watu wasinge tumia fb,

Moja kati ya mambo muhimu ya kuzingatia kwenye social network ni usalama wa data za watumiaji
 
Ulichoandika ndio ambacho fb wanataka ujue, ila sio siri kwamba FB wanatumia data zako kujipa Umonopoly wa social media na kujioatia kipato zaidi. Soma hapa

Inazungumzia Social network au Startup kiujumla??

Kama social network unauhakika Kuna hizo local social network kwasasa taja mfano wa hio local social network unayoijua moja tu?? Local nowdays watu wako kwenye Fintech, Edutech na Health hakuna mtu mwenye social hio ilikuwa miaka ya 2010-2013
 
Umeelewa hoja lakini boss, em soma tena ,nilicho post
 
Business model ya fb haijawahi kua yakuuza data hapo nakupinga, fb ina generate faida kwa ads(pay per view/clicks ) ads, kuuza data za user mzee ni illegal, watu wasinge tumia fb,

Moja kati ya mambo muhimu ya kuzingatia kwenye social network ni usalama wa data za watumiaji
Unategemea Facebook au Mtandao wowote wa kijamii uliotoboa wakuambie wanauza data zako?
 
Tech kwa ujumla bongo never took off, na sasa inaelekea tumepitwa na lile wimbi, makampuni makubwa yameshakamata sekta zao.

Ni watanzania wachache sana wako mtandaoni kihivyo, market yako itakuwa ndogo, pia content za hiyo network zitakuwa ndogo why nitumie local wakati kwenye hizi kubwa napata content na watu local+dunia nzima?

Unaweza kutengeneza of coz ila ni kama kujifurahisha zaidi sio big business na hatari ya hasara, nadhani kampuni kubwa kama za simu au Azam wangeweza kutengeneza kitu ila kampuni za simu hazina innovation ya aina hiyo inaelekea.

Pia kuna matatizo mengine, hauchelewi kuwekwa ndani kwa vile mtumiaji amemkejeli waziri, nchi yetu iko very basic.
 
Back
Top Bottom