Kati ya Techno R7 LTE na Itel T20 LTE za tigo ipi bora

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
320
225
Wadau kati ya hizi simu ipi bora zaidi, nataka kununua moja.

Tecno R7 LTE vs Itel T20 LTE zote zinauzwa TIGO shop.

NB: Napenda ambayo haitokuwa inanibana napotaka apps mbalimbali ziwe zinakubali kuinstall ( update)
 

Fast Forward

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
462
500
R7 inatumia soc ya kizamani sana MT6592 ambayo ni cortex A7

Hii T20 sijafanikiwa kuiona unaweza kuilink?

Kuna Alcatel fulani wanauza Tigo/Zantel ina cortex A53 ni simu nzuri sana kwa zinazouzwa chini ya 150k.

alcatel 1 - Full phone specifications
Hii simu jana nimeiona ni nzuri pia.


Ukweli simu za Alcatel ni nzuri sana na watu wengi bado hawajazijua sawa sawa.

Vodafone smart6 na zinginezo ni Alcatel yaani simu zao kwa kweli ni bora sana na bei ni rafiki kwa watu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
320
225
Hii T20 sijafanikiwa kuiona unaweza kuilink?


•4G
•Camera 5mp
•Inch 5
•Gb 16 kwa GB 1
•Os GO Edition
•Dual sim
•Selfie VGA
•Battery = tigo sijaona taarifa zao

ITEL T20 ni zaidi ya simu janja nyingine kwa sababu imewekwa huduma nyingi za kidigitali. ITEL T20 ni simu janja yenye uwezo wa 4G ikiwa na ukubwa wa screen wa nchi tano na uwezo wa 1GB+16GB huku ikiwa inafanya kazi kwa kutumia mfumo mpya wa Android P Go edition OS. Jina T20 linawakilisha, T= Tigon a 20 inawakilisha mwaka 202”, amesema Wolle.[/QUOTE]
 

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
320
225
R7 inatumia soc ya kizamani sana MT6592 ambayo ni cortex A7

Hii T20 sijafanikiwa kuiona unaweza kuilink?

Kuna Alcatel fulani wanauza Tigo/Zantel ina cortex A53 ni simu nzuri sana kwa zinazouzwa chini ya 150k.

alcatel 1 - Full phone specifications

•4G
•Camera 5mp
•Inch 5
•Gb 16 kwa GB 1
•Os GO Edition
•Dual sim
•Selfie VGA
•Battery = tigo sijaona taarifa zao
ITEL T20 ni zaidi ya simu janja nyingine kwa sababu imewekwa huduma nyingi za kidigitali. ITEL T20 ni simu janja yenye uwezo wa 4G ikiwa na ukubwa wa screen wa nchi tano na uwezo wa 1GB+16GB huku ikiwa inafanya kazi kwa kutumia mfumo mpya wa Android P Go edition OS. Jina T20 linawakilisha, T= Tigon a 20 inawakilisha mwaka 202”, amesema Wolle
 

Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,002
2,000
Mimi nimechukua leo hii hiyo itel t20 lakini chakushangaza inachemka haraka sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom