Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,284
- 2,593
Wanasema Dunia na maajabu yake hivi unajua Kuna watu wanauza maeneo mwezini. Baada ya mafanikio ya chombo Cha chandryaan 3 kufika mwezini Sasa zamu ya mwanadamu.
[emoji189] Kuna ripoti inasamba Kuna watu wamesha nunua maeneo mwezini ? Nani anayewauzia wenzake viwanja?
Mfanyabiashara mmoja toka India amesema amenunua eneo mwezini, anasema amenunua ekari 5 za ardhi karibu na eneo la Mare imbrium liliopo kaskazini mwa mwezi mwaka 2002.
[emoji189] Nanukuu alichosema "nimenunua eneo mwezini najua siwezi kwenda lakini baada ya miaka 50 au 100 makao ya binadamu yanaweza kuanzishwa uko."
Mwingine pia alisema [emoji116]
Je nani anayeuza Viwanja ?[emoji848]
Kampuni moja inaitwa the international lunar land registry (illR) ambayo ilianzishwa mwaka 1999.
Kampuni hiyo ndo inafanya usajili wa viwanja mwezini japo wenyewe wanasema wao sio wamiliki wa mwezi lakini wanasajili madai ya ardhi mwezini.
Kampuni hiyo imesema mpaka kufikia Julai mwaka 2019 watu zaidi ya 3,26000 duniani kote walifanikiwa kujiandikisha kununua maeneo mwezini ambapo ekari milioni 1.25 tayari zimepata wakazi.
Vipi umeshajikatia kiwanja mwezini ? Tags rafiki Yako tujifunze sote [emoji85]