Iphone kwa Sasa imejikita na camera zaidi kwa toleo la 15

La maana kwako ni lipi ungependa ulione kwenye huo uzinduzi wa toleo jioya la iPhone 15?

Ungependa nini kiongezeke au kipya kipi ungependa kiwemo ili zisipoteze soko?

Mauzo ya apple kila toleo jipya likitoka unayajua kiasi cha kujua wamepoteza soko?

Jina lako bana mi hoi!
 
Makondoo yatanunu.Camera jamani .Yaani wenye akili wala hawatanunua. Watabaki na 14 pro max.
Watanunua kwa ajili ya type C. Utasikia wanasema type C ya iphone ni ya aina yake, nzuri sana wakati sokoni zipo miaka 6 iliyopita. Ni kama vile kipofu, siku akiona anajiona yeye tu ndie amewahi kuona.

Apple ni kama dini, waumini wake chochote wanachokifanya apple kwao ni kipya na bora zaidi kwa sababu kimefanywa na apple. Ni kama misukule.
 
Innovation sio kitu kirahisi kiasi kwamba kila mwaka watu waje na kitu fulani.
 
Kampuni ya Apple Wamezindua Simu zao Mpya za IPhone 15
20230914_020757.jpg
128GB 6GB RAM, 256GB 6GB RAM, 512GB 6GB RAM
Screenshot_20230914-015050_Chrome.jpg
128GB 6GB RAM, 256GB 6GB RAM, 512GB 6GB RAM
Screenshot_20230914-015139_Chrome.jpg
128GB 8GB RAM, 256GB 8GB RAM, 512GB 8GB RAM, 1TB 8GB RAM
Screenshot_20230914-015333_Chrome.jpg
256GB 8GB RAM, 512GB 8GB RAM, 1TB 8GB RAM
Kwa Tanzania Hizi simu inawezekana bei ikawa zaidi ya Milioni Tatu. Kwaribuni kwenye Ulimwengu wa Simu za series. Tukumbushane tu kwamba Mwakani watatoa tena IPhone 16
 
Makondoo yatanunu.Camera jamani .Yaani wenye akili wala hawatanunua. Watabaki na 14 pro max.

Inategemea na nn unaangalia kwenye simu, while wengi waangalia uwezo wa picha na gimmics
Wako wale professinals wanacheza na processing power, network capabilities, resolution( kwa wale watu wa editing)

So inategemea mtu anatafuta nn?
 
Back
Top Bottom