Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu habarini za sahizi? Naomba kwa anaefahamu anielekeze juu ya ubora wa HP ELITEBOOK 840 G3 na HP PROBOOK 450 G4 Ni kwa ajili ya Mwanafunzi wa ICT Msaada tafadhali.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sina mengi ya kuandika, msaada kwenye tuta hizi simu zengine basi tu
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari wana jukwa!!! Leo nnimepakua app ya NMB Mkononi kwenye simu yangu ya Android, Lakini kila nikijaribu kujisajili naletewa maneno haya kwenye screen.. Je, Shida itakua nini hapo? Nimeamua...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Leo nilikua na brother tumetafuta sana azam king’amuzi tumefeli kupata dish lakin zipo antenna. Tumezunguka sana mpaka tukaenda kariakoo tukakutana na mawakala wa azam wanakwambia dish unapata kwa...
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo. Ikishakua kwa baadae nitafungua studio Nahitaji...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naombakujua kifaa tajwa hapo juu naweza pata wap kwa hapa Dsm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Muda umepita sasa toka vodacom na Tigo walipotangaza upatikanaji wa 5G kwa mtandao wao. Kwangu sijapata kuona kabisa katika simu nilizotumia network kupanda kwenda kwenye 5G. Nimeangalia band...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo mbali na TV nikataka kuangalia azam tv kupitia azam tv max app. Nimeambiwa smart card no yangu kuna mtu tayari anatumia. Sasa nawezaje kusitisha ili nitumie mwenyewe?
2 Reactions
4 Replies
10K Views
Tumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth Umeshawahi kutumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth kupitia simu yako ? Najua wengi tunaotumia simu kwenye mambo mengi tu ila wengi hatujui tunaweza share...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini...
2 Reactions
3 Replies
617 Views
Wale wakongwe wa ganda la ndizi rasmi jana wire tun waipiga pin kutoruhusu hata sumni ya data kutumika kaika internet haya tununue bando tukuze kipato cha nchi yetu.
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Android ni mmoja wapo wa mfumo maarufu wa Uendeshaji wa simu unaotumika sana ambao umetengenezwa na Google. Simu nyingi unazoziona Leo pamoja na kompyuta unazoziona sehemu mbalimbali zimetokana...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni rasmi sasa unaweza kutumia App original ya ChatGPT iliyoundwa na OpenAI na Microsoft. Ikumbukwe Akili Unde hiyo ilikuwa ikipatikana katika Computer pekee.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Internet privacy company Proton announced Wednesday a new VPN Observatory, tracking demand for its services to detect attacks on free speech in countries like Russia and Iran before they hit the...
1 Reactions
2 Replies
782 Views
Kwenye miaka ya sabini, ndege zilizokuwa maarufu sana ni DC9 iliyokuwa inatengezwa na kampuni ya MacDonnel Douglas ya huko Missouri kabla haijanunuliwa na Boeing, na VC10 iliyokuwa inatengezwa na...
0 Reactions
6 Replies
373 Views
2023 2123 Watu wengi wamekuwa wakijiuliza dunia itakuwaje ndani ya miaka mia moja ijayo? Leo hii ni 2023, je maisha yatakuwaje mwaka 2123? Huu ni utabiri kuhusu dunia itakavyokuwa miaka 100...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz. Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wataalamu. Hivi hakuna namna hizi simu deni likikushinda ukafanya namna fulani uwapotezee uendelee kuitumia maana naona kama wananichanganya hivi
6 Reactions
33 Replies
9K Views
Back
Top Bottom