ni taaluma hio ya udukuzi wa mitandao kuwazidi akili walioweka ukuta.
kama upo serious jifunze kwa wa indonesia, wafilipino na wabrazili huwa wanapenda mseleleko kama sisi maana nao hali za uchumi mbaya ila wana maarifa ya kuruka hizo kuta, ingia google uwe unatafsiri lugha zao.
Kwa marekani na ulaya hizi mambo hawanaga muda nazo wanaweza kumudu
Vinginevyo tulia kama sisi tu, tunasubiria watu waumize vichwa, wakiwa na wito wa ku share mafaili yao inakuwa baraka kwetu japo faili huwa halitoboi mwezi