Wireless video door bell,,wapi inapatikana

Wireless video door bell,,wapi inapatikana

Delly Mandah

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
391
Reaction score
194
Wakuu naombakujua kifaa tajwa hapo juu naweza pata wap kwa hapa Dsm
 
Ukipata niambie mimi pia naitaka

Option nyingine ni kununua mtandaoni
 
Wakuu naombakujua kifaa tajwa hapo juu naweza pata wap kwa hapa Dsm
Nairobi zipo nyingi mkuu,nitafute tuongee

Ukipata niambie mimi pia naitaka

Option nyingine ni kununua mtandaoni
 
Kuna hiyo inapatikana na Tshs 130,000 hadi 120,000
IMG-20230804-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom