Ubora kati ya HP Elite Book 840 G3 NA HP Pprobook 420 G4

CaptainKing

Member
Feb 21, 2023
14
15
Wakuu habarini za sahizi?

Naomba kwa anaefahamu anielekeze juu ya ubora wa HP ELITEBOOK 840 G3 na HP PROBOOK 450 G4

Ni kwa ajili ya Mwanafunzi wa ICT

Msaada tafadhali.

Screenshot_20230805_155743_Chrome.jpg
Screenshot_20230805_155725_Chrome.jpg
 
Mkuu hii dukani bongo unafahamu bei zake?
Inategemea na bidii yako katika utafutaji, kwa PC yenye
  • SPEC 1: Intel i5, 8GB RAM, 256GB SSD
  • SPEC 2: Intel i7, 16GB RAM, 500GB HDD
Andaa kati ya 450,000 hadi 700,000 | Ambapo i5 itakuwa bei n fuu kiasi ukilinganisha na i7
 
Inategemea na bidii yako katika utafutaji, kwa PC yenye
  • SPEC: Intel i5, 8GB RAM, 256GB SSD
  • Intel i7, 16GB RAM, 500GB HDD
Andaa kati ya 450,000 hadi 700,000 |
Good.
Kati ya Hp hii na Lenovo size hii, ile ya ssd ungwpendekeza ipi?
 
Inategemea na bidii yako katika utafutaji, kwa PC yenye
  • SPEC 1: Intel i5, 8GB RAM, 256GB SSD
  • SPEC 2: Intel i7, 16GB RAM, 500GB HDD
Andaa kati ya 450,000 hadi 700,000 | Ambapo i5 itakuwa bei n fuu kiasi ukilinganisha na i7
Generation ya ngapi?
 
Back
Top Bottom