Ni aina ipi nzuri ya kamera ya kisasa inayofaa katika kazi ya upigaji picha

chaz beezz

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
217
841
Ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo. Ikishakua kwa baadae nitafungua studio

Nahitaji kufahamu camera ipi ni nzuri inayofaa kwa picha na video kwa mawazo yangu ninampango wa kununua cannon lakini sijajua cannon model gani ndo itakua suitable.
na vipi kuhusu bei zake kwa Sasa camera ikiwa full parkage.

msaada tafadhali kwa wanaojua ainaa nzuri za kamera
 
Usiangalie sana Brand maana kuna point and shoot camera hazina issue.

Kuna kitu kinaitwa Dslr na mirrorless.

Dslr zenyewe zinakuwa na lens za kutosha, ina maana ukitaka picha za mwanga mdogo, kuzoom, wide capture etc Dslr ni nzuri.

Mirrorless zenyewe ni portable nzuri zaidi kwa kuchukulia video, utapata standard za kisasa kama video za 60 ama 120fps na resolution za 1080p kupanda.

Jiangalie mwenyewe hapo kati ya picha na video kipi ni muhimu zaidi ili uchague Dslr ama Mirrorless, ukishapata jibu umepata kwa kuanzia.

Then angalia budget yako mfano laki 5 hadi 1m, then unaweza google ama ukapost tena hapa kwa Dslr ama mirrorless za hio budget.
 
Maelezo mazur sn haya!
 
Kwa bajeti ya 10m inaweza nunua camera nzuri na za quality ambazo unaweza record hata kwaya ?
 
3-4M unapata proffesional level Camera, sema unapoingia deep kufanya kazi ki professional zaidi utagundua Camera moja haitoshi, utahitaji mic za maana, Lens nzuri, Tripod na mambo mengine. Kila Camera inakua na specialise yake, kama huna uhakika na unachofanya vyema tafuta mtaalamu anaefanya kuwa understudy kwa mda jua kazi inahitaji nini na nini halafu ndio ufanye hio decision, 10M parefu sana.
 
Professional level kwa 3-4 now ni uongo kwasabu now kinachohitajika ni RAW files ndiomana wenye camera wengi wanashindwa fikia professional level kwasabu data zinakuwa kwenye input moja, hata upate camera ya 8K Kama haichukui RAW files ni kazi bure hususani videos Mana dslr Zina output picha katika RAW,
Ila Kama anataka kushoot kwaya hizi za bongo sawa, Mana kinacho angaliwa ni maudhurio yako kanisani
 
Nawe toa maelezo yako mazuri sasa unapata kamera ya aina gani na uzuri wake
 
Industry Ina body na lens Kuna lens zinazidi Bei ya body siwezi mwambia anunue Canon au black magic kwasabu black magic inacapture RAW etc awe specific anataka nn Kama ni indoor au outdoor na Kama ni outdoor wapi huwezi mrecommend mtu anunue Canon inayokuja na 35mm wakati anaenda kupiga picha mbuga za wanyama n.k

Lens ziko Bei juu Sana kwahiyo mtoa mada awe specific anataka camera afanyie nn
 
Back
Top Bottom