Nimeiona ni nzuri sana.Utakuwa hujadownload yenyewe kwa sababu hii ni free kabisa na unatumia email ileile unayotumia kwenye webbrowser version yake.Nimeiona kaka ila wamenipa trial tatu nataka kuondoa limit kupitia Vodacom airtime billing..ila kuna vipengele nashindwa kuvijaza Street address, code,flat n.k