Msaada jinsi ya kumjua anayetumia Smart Card yako kwenye Azam TV Max App na kusitisha

Afisa Tabibu

JF-Expert Member
Oct 29, 2021
484
799
Nipo mbali na TV nikataka kuangalia azam tv kupitia azam tv max app.

Nimeambiwa smart card no yangu kuna mtu tayari anatumia.

Sasa nawezaje kusitisha ili nitumie mwenyewe?
 
Nipo mbali na TV nikataka kuangalia azam tv kupitia azam tv max app, nimeambiwa smart card no yangu kuna mtu tayari anatumia, sasa nawezaje kusitisha ili nitumie mwenyewe?
Wapigie kwa namba zao (huduma kwa wateja), watakuuliza baadhi ya maswali wapate uhakika kama smart card ni yako then watasitisha kwa anayetumia sasa na wewe utaweza kujiunga.
 
Acha kukatisha burudani ya mwenzako, fungua kwa account mpya ulipe upya, ulipie na kisimbuzi chalo ili huyo jamaa aendelee kula maisha kwa jasho lako.
 
Back
Top Bottom