Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,849
- 2,442
Wale wakongwe wa ganda la ndizi rasmi jana wire tun waipiga pin kutoruhusu hata sumni ya data kutumika kaika internet haya tununue bando tukuze kipato cha nchi yetu.
Kwa maana tigo nao wamechomoa betri?Wale wakongwe wa ganda la ndizi rasmi jana wire tun waipiga pin kutoruhusu hata sumni ya data kutumika kaika internet haya tununue bando tukuze kipato cha nchi yetu.
Bando bei ghari hivyo. HapanaWale wakongwe wa ganda la ndizi rasmi jana wire tun waipiga pin kutoruhusu hata sumni ya data kutumika kaika internet haya tununue bando tukuze kipato cha nchi yetu.
Nipe connectionNoma sana