Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,015
- 24,958
Kwenye miaka ya sabini, ndege zilizokuwa maarufu sana ni DC9 iliyokuwa inatengezwa na kampuni ya MacDonnel Douglas ya huko Missouri kabla haijanunuliwa na Boeing, na VC10 iliyokuwa inatengezwa na kampuni ya Vickers-Armstrong ya Uingereza kabla haijafilisika.
Design za DC9 na VC10 ndizo zilizoweka standards za ndege kama tunavyozijua leo. Ingawa wao walikuwa wameweka injini mkiani, ambapo siku hizi ndege nyingi injini zimefungwa kwenye mabawa, mfumo mzima wa controls unaotumika katika ndege nyingi leo ni ule uliachwa na hao vigogo wa DC9 na VC10.
.
EAA VC10
EAA DC9