Msaada Azam Tv: Smartcard Not Paired

Msaada Azam Tv: Smartcard Not Paired

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,247
Reaction score
89,164
Tumeama toka Zuku, tukaingia Azam Tv jana, sasa tumekutana na Hii message kwenye screen.
Inaonesha channel moja tu ile ya matangazo ya tv yao ambayo ata ukitoa card yenyewe inaendelea. Tatizo linaonekana lipo kwenye card, How to solve it?
Msaada wa kiufundi tafadhali
 
Unaponunua Receiver ya PayTV inayotumia SmartCard lazima uwapigie Azam TV wafanye "Marriage" ya Nagra motherboard ya decoder na hiyo Smartcard.
Hii automatically inakuzuia wewe kutumia Smartcard katika CAM ya receiver nyingine e.g Kutumia Smart card ya Azam katika Receiver ya FTA kama Ibox 3030 etc.

Hiyo ni kwa manufaa ya kuzuia Piracy Decryption(Kusambaza channel kwa card moja kwa watu wengine) maana wakiiacha Smartcard ni rahisi sana kuichukua hiyo Card na kuiweka katika Advanced Set Top boxes(STB) kama zile zinazo Run on Linux OS hivo kuweza ku transmit control without any effort...which can even be done by a kindergeten school student.
Hivo hiyo kitu ni muhimu kwa security ya Pay TV zote

Sorry kwa maelezo marefu
 
Thanks mkuu, maelezo marefu yamenisaidia zaidi boss. Nimenunua pale HQ Tazara, mi nikajua watakua wamesha activate kila kitu sasa kama Makao Makuu wanazingua hivi hao mawakala mikoani itakuaje?
Nataka niende leo, ina ulazima wa kubeba receiver yote, au card tu is enough?
Thanks wakuu,
 
Hilo tatizo linatokana na sababu zifuatazo

1.Kuna kimoja wapo hapo ni kipya kama sio dikoda basi card,sasa hakiwezi kuoana na hicho kingine mpaka viwe paired(viunganishwe)

2. Vyote vinaweza kuwa sio vipya ila umechanganya kadi uliyoweka humo sio yake inahitaji kuungamishwa a dikoda

Suluhisho
Unaweza wapigia makao makuu azam tv kukufanyia pairing hapo lazima kimoja wapo kiwe kipya au vyote viwe vipya na wata kuulize details kama majina mawili,namba ya simu,tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa

Ila kama ndio mteja mpya wa azam rudi ulipo nunua wakusajili pia watakupa na ofa ya mwezi mmoja kifurushi cha 25,000/=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom