Ndiyo. Kwanza Update WhatsApp yako Kisha left group. Admin pekee ndiye atajua umeleft. Members wengi Hadi waangalie group past participants
Ahakikishe tu ni latest version of WhatsApp basiKama ipo up to date? Una update kuelekea wapi?
Ahakikishe tu ni latest version of WhatsApp basi
🖕🏿🖕🏿I do not think so , usimponze mwenzio.
Sababu zipo nyingi moja wapo inaweza kuwa hiyo.Kwa upande wangu nimebidi nibaki kwenye group ambalo sikubaliani na mambo yao kwa sababu tu namuonea haya mtu mmoja katika hilo group.Natamani nitoke bila yeye kujua.Kwani wakijua wanakudai?