mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,185
Wakuu naomba msaada wa kimawazo kwa wataalum wa sola na Bio gas.
Nahitaji ku pump maji ya kisima kwa kutumia moja ya power source mojawapo kati ya sola au bio gas ila hizi source ni DC ila Mimi nina water pump ya Ac.
Je ni sola ya ukubwa gani nitatumia ili niweze pump maji kwa masaa 4+ na garama yake ni kiasi fani?
Je ni bio gas ya ukubwa gani itanipa umeme wa kutumia masaa 4+ na garama zake zipoje ?
Naomba kuwasilisha