Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nilikuwa natumia WhatApp GB ghafla ikaexpire nikadownload upya nikiunga inaniandikia account not verified nimetuma na picha hapo chini jinsi inavyokuwa.
nimetumia na official bado ikifika kwenye verification code inasach alafu inaandika hivyo tena.Kwan lazima utumie WhatsApp GB?
Download official Whatsapp
Watatuuakama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nilikuwa natumia WhatApp GB ghafla ikaexpire nikadownload upya nikiunga inaniandikia account not verified nimetuma na picha hapo chini jinsi inavyokuwa.
View attachment 2693189