Msaada: VPN za kulipia

DilMeraa

Member
Feb 22, 2023
21
29
Habari za Muda huu wa ungwana...

Naomba ushauri juu ya VPN ya kulipia kati ya Your freedom na Droid VPN ipi ni nzuri zaid kulipia? Pia kama unafahamu VPN nyingine nayoweza kutumia tofauti na hizi mbili itakua vyema ukinisaidia kuipata.

Nahitaji VPN yenye speed at least ya 1mbps na isio kata kata sana.

Natanguliza shukrani..
 
nanilikua natak uzi wa mambo haya coz nimewahudumia.wat lakn.shida ;ni cfg
Cfg nshataft san broo nimekosa mi nilijua nikilipia speed itakua at least 500kbps lkn haivuki 200 na bado Inaji disconnect kila muda an shda tupu
 
Screenshot_2023-04-04-06-14-30-61.png
 
Back
Top Bottom