Kuna faida yoyote Serikali inapata tukitumia VPN?

sheby dunia

Member
Jul 12, 2018
78
82
Naomba kujua wanna tech na wachumi, hivi Kuna masilahi gani Serikali inapata raia wake tunapotumia vpn au tunaiga tu.

Mna all adult sites blocked afu imekua kero kuwasha vpn, kuna muda ina disconnect yan ni usumbufu kwa hili nilikua nataka nifahamu Kuna faida yoyote wanapata tunapotumia vpn?

Na wajue kwamba kama hakuna faida basi wananufaisha watu pakubwa mna hizi company za vpn ziko zinapiga pesa nying mno.
 
Naomba kujua wanna tech na wachum ivi Kuna masilah gan serikali inapata raia wake tunapotumia vpn au tunaiga tu.mna all adult sites blocked afu imekua kero kuwasha vpn Kuna mda Ina disconnect yan ni usumbufu kwa hili nilikua ntka nifaham Kuna faida yoyote wanapata tunapotumia vpn.na wajue kwamba kma hakuna faida basi wananufaisha watu pakubwa mna izi company za vpn ziko znapga pesa nying mno.
Serikali inakuokoa na kukutaka uwe na maadili mema kwa kuzuwia hiyo mitandao ya hovyo, wewe unajifanya mjanja. Porn inakusaidia nini?

Asiyesikia la mkuu...
 
Serikali inakuokoa na kukutaka uwe na maadili mema kwa kuzuwia hiyo mitandao ya hovyo, wewe unajifanya mjanja. Porn inakusaidia nini?

Asiyesikia la mkuu...
Sio porn ni adult sites.kma hujui adult sites zinatembelewa mno na hao waserikalin kuliko hata mim nawew afu sasa sio kila anaeingia adult sites ni mzinzi adult sites ni chanzo cha kipato na adult sites sio porno tu wabongo washamb Sana mtu ukimwambia adult anajua porno tu .ila acha tu nisiongee Sana
 
Mbona hakuna site yoyote ya maana ninayoikosa?

Hizo "adult" site zako ukiona hazipatikani elewa kuwa hazina maadili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom