Hello,
Nina kazi zangu za kisanaa, ziko uploaded on YouTube lakini hazikuwafikia watu wengi. Nahitaji ziwe recommended kwa Mtanzania yeyote anayeingia kwenye App. Nifanye nini ili hizi videos...
YouTuber Tukutane Hapa
Je, unamiliki YouTube channel au unataka kutengeneza na kupata Ujanja Zaidi mfano kuongea Views na subscribers? Basi pitia hapa.
Wadau kama wewe ni mmiliki au mtengenezaji...
Salamu wakuu,
Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited).
Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza...
๐ง๐ฒ๐๐น๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐๐ฎ ๐ถ๐ป๐ฎ๐ธ๐๐ฝ๐ฎ ๐๐๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐ ๐ฐ๐ผ๐ป๐๐ฟ๐ผ๐น ๐ด๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐น๐ฎ๐ธ๐ผ ๐ธ๐๐ฝ๐ถ๐๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐
Kampuni ya Tesla imeleta mfumo rahisi wa kuingiliana Kati ya gari pamoja na simu kwa watumiaji wa simu za iphone pekee.
[emoji189]...
Kampuni ya apple inayofanya vizuri kwenye uuzaji wa simu zao. kuanzia mwaka 2008 ilikua na app 500 kwenye soko la app store mpaka kufikia app zaidi ya milioni mbili sasa.
Ukingia kwenye soko la...
Habarini za asubuhi
Nilikuwa natumia program ya download master ku-download video kwenye YouTube , Ila naona wamefanya maboresho na imekuja program ambayo siyo rafiki
Naomba msaada Kwa ambaye...
Za jioni wakuu,
Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti. Yaan bedroom TV pia niweze kupata huduma ya azam TV kwa king'amuzi chake separate ila nitumie...
Jana Instagram wamenifungia acc yangu kwa madai nimeenda kinyume na sheria zao
Msaada kwa hatakaeweza kunirudishia acc yangu maana ni special for busness
Aisee, simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu (bila kudownload). Mfano Kuna Aapp inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inarudi tena. Kuna...
Wakuu siku kadhaa nilipost kuwa nimeanza kujifunza python. Nashukuru wadau walinipa mwongozo. Kuptia python niliweza kuweza kuelewa rahisi kidogo C++ kuliko awali nilikuwa sielewi kirahisi. Naweza...
KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU
Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen.
KUPERUZI SIMU KWA...
Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee
Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote.
Simu hii mpya ya gharama ya...
๐ก๐ฐ๐ต๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ป๐ฑ๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ณ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ๐ป๐ถ ๐ฏ๐ฎ๐ฎ๐ฑ๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฐ
[emoji189] Nchi ya India imefanikiwa kufika mwezini baada ya kujaribu na kushindwa miaka minne iliyopita, hatimaye India imefanikiwa kufikisha chombo...
Simu yangu ilitumbukia kwenye maji display ikaharibika niikaweka display nyingine kwa sh 70,000,display hii mpya haina ubora kama ile original iliyokuja na simu na napasuka kama kioo cha dirisha...
Habari za leo wakuu,nina Samsung s21 ultra 5g imekuwa na tatizo la kusoma mtandao kwa muda sasa,unaweza weka laini ikasoma vizuri tu baada ya muda haisomi ni mwendo wa Emergency tu na data...
Salaam wakuu.
Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha...
Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde.
Ndege hiyo...