Sasa unaweza kutumia simu ku control gari lako

Sasa unaweza kutumia simu ku control gari lako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620
๐—ง๐—ฒ๐˜€๐—น๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚ ๐—ฐ๐—ผ๐—ป๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—น ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚

View attachment 2726035

Kampuni ya Tesla imeleta mfumo rahisi wa kuingiliana Kati ya gari pamoja na simu kwa watumiaji wa simu za iphone pekee.

[emoji189] Kupitia Apple shortcut utakua na uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali kwenye magari ya Tesla kwa urahisi. Kupitia version ya (4.24.0) kwa watumiaji wa iOS.

images-1.fill.size_800x1734.v1692613506.jpg


[emoji189] Kwenye iphone shortcuts ni app ya Bure ambayo inakuja ndani ya iphone na ipad inamruhusu Mtumiaji wa simu kuokoa muda kwa kufanya shughuli mbalimbali kwa haraka kupitia shortcut.

View attachment 2726036

[emoji189] ukiweka mfumo wa shortcut kwenye Iphone yako kupitia App ya Tesla utaweza kufanya yafuatayo [emoji116]
  • utakua na uwezo wa kufunga na kufungua mlango wa gari bila funguo.
  • unaweza fungua madirisha Yako.
  • unaweza kufunga madirisha ya gari.
  • unaweza kufungua mfumo wa charging port, kufungua boot na bonnet.
  • kuwasha Ac kwenye gari / kuzima Ac
  • pia unaweza weka schedule yani ukifika mahali Fulani gari lizime au muda Fulani nk.

IMG_20230823_120401_823.jpg


[emoji189] Hakikisha umepakua app ya Tesla's kwenye app store kuanza kutumia huu mfumo kwenye simu yako.
 
Wewe acha basi tecnolojia imefikia hapo?

Tesla ikiwa bongo au ukiwa Huko kwa Biden

Hebu ulizia na toyota labda shortcut na siri vyaweza fanya jambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom